Waziri wa mambo yanje wa Marekani Joh Kerry
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani
John Kerry amehoji kuhusu shutuma za Waziri Mkuu wa Israel Benjamin
Netanyahu kuhusu msimamo wake kuhusu Mpango wa Nuklia wa Iran.
Netanyahu
amekosoa Marekani na nchi nyingine za magharibi kwa kile alichokiita
''kushindwa'' kuizuia Iran kutengeneza silaha za nuklia.Kerry amekosoa Shutuma za Netanyahu alipokuwa akijibu tamko lililotolewa dhidi ya Marekani na nchi za magharibi kuwa ''zimekubali hali halisi kuwa Iran itakuwa na uwezo wa kutengeneza malighafi za kutengeneza silaha za Nuklia miaka michache ijayo''
Akiwa kwenye mkutano kuhusu maswala ya Nuklia mjini Geneva, Waziri Kerry amewaambia maseneta kuwa Rais Obama aliweka wazi kuwa Sera si kuwa Iran kuwa na Silaha za nuklia hivyo amekosoa kauli ya Netanyahu kuwa haAkiwa kwenye mkutano kuhusu maswala ya Nuklia mjini Geneva, Waziri Kerry amewaambia maseneta kuwa Rais Obama aliweka wazi kuwa Sera si kuwa Iran kuwa na Silaha za nuklia hivyo amekosoa kauli ya Netanyahu kuwa haiko sahihi.
CHANZO BBC.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni