Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete
Tanzania imekanusha vikali tuhuma kwamba imekuwa ikiwaruhusu viongozi wa kundi la waasi la FDLR kufanya mikutano nchini humo.
Hapo
jana kulikuwa na taarifa ambazo zilitangazwa na vyombo mbali mbali vya
habari duniani kuhusu ripoti mpya ya kundi la wataalamu wa umoja mataifa
kuhusu Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwamba iilituhumu Tanzania kwa
kuwaruhusu viongozi wa kundi la waasi FDLR kuandaa mikutano nchini
humo.Katika ripoti hiyo pia wanajeshi wa Burundi wanatuhumiwa kuwa walitekeleza unyanyasaji wa kingono.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni