Shule

Shule
Shule ya secondary Lilasia yenye usajili no. 3878 inatoa nafasi za kujiunga na kidato cha 1 mwaka 2015 shule ni ya kutwa na bweni. ofa! lipia kwa awamu nne. mawasiliano:- 0754 504 132/ 0756 240 471/ 0754 985 772 Wahi sasa nafasi ni chache

Ijumaa, 13 Februari 2015

RAIS JAKAYA AWAAPISHA NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA FEDHA NA BALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI KENYA.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete amewaapisha Dkt. Hamisi Mwinyimvua kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara Fedha na Balozi wa Tanzania nchini Kenya John Haule katika hafla iliyofanyika (Jana) Ikulu jijini Dar es salaam.Soma zaidi hapa

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni