Wapiganaji nchini Libya
Kundi la mataifa ya nchi za
magharibi limetaka kuwepo kwa hatua za dharaua kutafuta suluhu ya
kisiasa katika mzozo uliopo nchini Libya ambapo makundi hasimu
yanang'ang'ania madaraka.
Taarifa hiyo kutoka marekani
,Uingereza,ufaransa,Ujerumani, Italia na Uhispania inajiri baada ya
Misri kuomba msaada wa jeshi la kimataifa.Siku ya Jumapili Misri ilithibitisha kuwa wanamgambo wa Islamic state waliwakata vichwa watu 21 raia wake ambao ni wakisristo wa madhehebu ya Copti
chanzo bbc.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni