Shule ya secondary Lilasia yenye usajili no. 3878 inatoa nafasi za kujiunga na kidato cha 1 mwaka 2015 shule ni ya kutwa na bweni. ofa! lipia kwa awamu nne. mawasiliano:- 0754 504 132/ 0756 240 471/ 0754 985 772 Wahi sasa nafasi ni chache
Jumatano, 25 Februari 2015
WAETHOPIA 13,WAKAMATWA WAKISAFIRISHWA MOROGORO.
Jeshi la polisi mkoa wa Morogoro limewakamata wahamiaji haramu 13
kutoka nchini Ethiopia wakiwa kwenye gari ndogo aina Prado katika
kijiji cha Lusanga Turiani wilayani Mvomero wakijiandaa kwenda Afrika
kusini kupitia mkoani Mbeya
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni