Shule

Shule
Shule ya secondary Lilasia yenye usajili no. 3878 inatoa nafasi za kujiunga na kidato cha 1 mwaka 2015 shule ni ya kutwa na bweni. ofa! lipia kwa awamu nne. mawasiliano:- 0754 504 132/ 0756 240 471/ 0754 985 772 Wahi sasa nafasi ni chache

Jumatatu, 23 Februari 2015

MEZ B ANAPEWA HESHIMA ZA MWISHO KATIKA VIWANJA VYA MASHUJAA

 
Mwili wa Msanii Mez B leo utapumizishwa katika nyumba yake ya milele katika makaburi ya Wahanga yaliopo Maili Mbili mjini Dododoma.Marehemu Mez B Anapewa heshima za mwisho katika Viwanja vya Mashujaa.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni