Shule ya secondary Lilasia yenye usajili no. 3878 inatoa nafasi za kujiunga na kidato cha 1 mwaka 2015 shule ni ya kutwa na bweni. ofa! lipia kwa awamu nne. mawasiliano:- 0754 504 132/ 0756 240 471/ 0754 985 772 Wahi sasa nafasi ni chache
Ijumaa, 13 Februari 2015
ZOEZI LA UANDIKISHWAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA LASOGEZWA MBELE.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC imetangaza kusogeza mbele zoezi la
uandikishwaji wa daftari la kudumu la wapiga kura kwa mfumo wa BVR
kutoka Februari 16 hadi Februari 23 mwaka huu Soma Zaid hapa
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni