Aliyekuwa rais wa Senegal Abdoulaye Wade na mwanawe Karim Wade
Waendesha mashtaka nchini Senegal
katika kesi inayohusu ufisadi ya mwana wa kiume wa aliyekuwa rais wa
zamani wa Senegal Abdoulaye Wade wameomba ahukumiwe kifungo cha miaka
saba gerezani na faini ya dola milioni 430.
Karim Wade analaumiwa kwa kujipatia zadi ya dola milioni 200 kwa njia isiyo halali.Bwana Wade anasema kuwa alipata utajiri akiwa mfanyi biashara barani ulaya kabla ya kurejea nyumbani ambapo alihudumu kama waziri kwenye serikali ya babake kwa miaka mitatu.
CHANZ BBC.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni