Jeshi la Chad lilianzisha Operesheni dhidi ya Boko Haram
Watu 13 wamepoteza maisha kwa shambulio la kujitoa muhanga mjini Potiskum, kaskazini mashariki mwa Nigeria.
Mfanyakazi
mmoja wa kituo cha basi cha Dan-Borno ameiambia BBC kuwa aliyejitoa
muhanga alisubiri mpaka basi hilo linalobeba Watu 18 kujaa kabla ya yeye
kuingia kwenye basi hilo.Shuhuda huyo amesema basi liliharibiwa vibaya na moto na mengine ya jirani kuharibiwa.
Siku ya jumapili, mji huo ulishambuliwa na Msichana mmoja aliyejitoa muhanga
CHANZO BBC.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni