Shule

Shule
Shule ya secondary Lilasia yenye usajili no. 3878 inatoa nafasi za kujiunga na kidato cha 1 mwaka 2015 shule ni ya kutwa na bweni. ofa! lipia kwa awamu nne. mawasiliano:- 0754 504 132/ 0756 240 471/ 0754 985 772 Wahi sasa nafasi ni chache

Jumamosi, 28 Februari 2015

JESHI LA CHINA LAINGIA SUDANI KUSINI.

 
Wanajeshi wa Uchina waingia Sudan kusini kuweka amani 
Uchina imesema kuwa kikosi chake kwa kwanza maalum cha kijeshi kilichojumuishwa wanajeshi wa kulinda amani wa Umoja wa mataifa kimeanza shughuli zake nchini Sudan kusini.
Katika kipindi cha majuma machache yajayo, jumla ya wachina mia saba watawasili nchini humo .
Watakuwa na ndege zisizokua na rubani, vifaru na makombora.
Uchina haijawahi kuwatuma maelfu ya walinda amani , lakini imekuwa zaidi ikitoa misaada kwa ajili ya amani.
chanzo bbc..

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni