Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Marekani Admiral John Kirby
Wizara ya ulinzi ya Marekani
Pentagon imesema kuwa imethibitisha kuwa shambulio la ndege la wiki
iliyopita nchini Somalia dhidi ya magaidi wa Al Shabab lilimuua kiongozi
mwandamizi wa wapiganaji hao.
Msemaji wa wizara ya ulinzi ya
Marekani Admiral John Kirby amemtaja aliyeuawa ni Yusuf Dheeq aambaye
alikuwa mkuu wa idara ya upelelezi ndani ya kundi hilo.Kirby pia amesema hakuna raia yeyote aliyejeruhiwa ama kuuawa katika shambulio hiolo la anga lililofanywa na Marekani dhidi ya Al shabaab kusini mwa mji mkuu wa Somalia Mogadishu.
CHANZO BBC
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni