Shule

Shule
Shule ya secondary Lilasia yenye usajili no. 3878 inatoa nafasi za kujiunga na kidato cha 1 mwaka 2015 shule ni ya kutwa na bweni. ofa! lipia kwa awamu nne. mawasiliano:- 0754 504 132/ 0756 240 471/ 0754 985 772 Wahi sasa nafasi ni chache

Jumamosi, 28 Februari 2015

RINDA LA LUPITA LAPATIKANA.

 
 Mwanafilamu aia wa Knya Lupita Nyong'o akiwa amevaa rinda lililodaiwa kuibwa na baadaye kuridishwa katika chumba chake cha hoteli mjini London
Polisi katika jimbo la Los Angeles nchini Marekani wanasema kuwa wamepata nguo wanayoamini iliibwa kutoka kwa chumba cha hoteli cha mwanafilamu raia wa Kenya Lupita Nyongo baada ya kuvaa nguo hiyo wakati wa sherehe za Oscars.
Maafisa hao wa polisi wanasema walipokea habari hizo kutoka kwa mtandao wa watu maarufu TMZ.
Mtandao huo ulipokea simu kutoka kwa mtu aliyedai kuwa alikuwa ameichukua nguo hiyo kabla ya kuirejesha tena hotelini alipogundua kuwa lulu 6,000 ilizokuwa nazo zilikuwa bandia.
Awali nguo hiyo ilikuwa ikidaiwa kuwa na thamani ya dola 150,000.
chanzo bbc.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni