Shule

Shule
Shule ya secondary Lilasia yenye usajili no. 3878 inatoa nafasi za kujiunga na kidato cha 1 mwaka 2015 shule ni ya kutwa na bweni. ofa! lipia kwa awamu nne. mawasiliano:- 0754 504 132/ 0756 240 471/ 0754 985 772 Wahi sasa nafasi ni chache

Jumanne, 10 Februari 2015

EMAMANUEL MBASHA AVUNJA UKIMYA JUU YA MTOTO WA MKEWE.

 
Mwimbaji wa miondoko ya injili nchini, Emmanuel Mbasha hatimaye amefunguka juu ya mtoto ambaye mkewe Flora Mbasha amejifungua na kuweka wazi kuwa, kwa sasa asingependa kusema chochote juu yake mpaka pale wakati muafaka utakapofika.Soma zaidi hapa

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni