Shule

Shule
Shule ya secondary Lilasia yenye usajili no. 3878 inatoa nafasi za kujiunga na kidato cha 1 mwaka 2015 shule ni ya kutwa na bweni. ofa! lipia kwa awamu nne. mawasiliano:- 0754 504 132/ 0756 240 471/ 0754 985 772 Wahi sasa nafasi ni chache

Jumatatu, 2 Februari 2015

MBUNGE ASHAURI WANAUME WA TANZANIA NAO WAFUNGWE UZAZI.


Mh. Celina Kombani ambaye pia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma naye ameshauri ili kudhibiti ongezeko la watu nchini, Wanaume wa Tanzania nao wafungwe uzazi kama wafanyiwavyo wanawake.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni