Shule

Shule
Shule ya secondary Lilasia yenye usajili no. 3878 inatoa nafasi za kujiunga na kidato cha 1 mwaka 2015 shule ni ya kutwa na bweni. ofa! lipia kwa awamu nne. mawasiliano:- 0754 504 132/ 0756 240 471/ 0754 985 772 Wahi sasa nafasi ni chache

Jumatano, 4 Februari 2015

UTAFITI; KUKIMBIA KUPITA KIASI KUNADHURU



Mtu na mkewe wakifanya zoezi la kukimbia
ufanya zoezi la kukimbia kupita kiasi kunaweza kukudhuru vibaya afya yako kama vile kutovaa viatu wakati huo, kulingana na ripoti ya jarida la chuo cha Marekani cha magonjwa ya moyo.
Wanasayansi waliwachunguza zaidi ya wakimbiaji 1000 na wale wasiokimbia katika kipindi cha miaka 12.
Wale waliokuwa wakikimbia kwa kasi isiopungua ama hata kuongezeka kwa mda wa saa mbili na nusu kwa wiki walikuwa na uwezekano mdogo kuaga dunia wakati huo.
Lakini wale waliokimbia kwa zaidi ya saa nne kwa wiki ama hawakufanya mazoezi kabisa walikuwa na viwango vya juu vya kuaga dunia.
Baada ya kufanya utafiti, wanasayansi waligundua kwamba watu wanafaa kukimbia kwa kilomita nane kwa saa na kwamba ni vyema kukimbia chini ya masaa matatu kwa wiki kwa jumla ikiwa ni saa 2 na nusu.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni