Shule

Shule
Shule ya secondary Lilasia yenye usajili no. 3878 inatoa nafasi za kujiunga na kidato cha 1 mwaka 2015 shule ni ya kutwa na bweni. ofa! lipia kwa awamu nne. mawasiliano:- 0754 504 132/ 0756 240 471/ 0754 985 772 Wahi sasa nafasi ni chache

Jumatatu, 2 Februari 2015

STRAUS KAHN AHUSISHWA NA UKAHABA


Straus Kahn na mkewe akitoka mahakamani
Aliyekuwa mkuu wa shirika la fedha duniani IMF,Dominique Strauss Kahn ameshtakiwa nchini Ufaransa na mashtaka ya usaidizi wa kuwanunua wanawake ili kushiriki katika sherehe za ngono.

Straus Kahn na mwanamke mwandishi aliyedai Kahn alitaka kumbaka.
Ameshtakiwa kwa kuwa katikati ya mtandao wa ukahaba mjini Paris,Brussels na Washington.
Bwana Straus-Kahn amekana kujua kwamba wanawake katika sherehe hiyo walilipwa.
 Straus Kahn na mwanamke msaidizi ambaye alidai kunyanyaswa kijinsia na Kahn 
CHANZO BBC. 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni