Shule

Shule
Shule ya secondary Lilasia yenye usajili no. 3878 inatoa nafasi za kujiunga na kidato cha 1 mwaka 2015 shule ni ya kutwa na bweni. ofa! lipia kwa awamu nne. mawasiliano:- 0754 504 132/ 0756 240 471/ 0754 985 772 Wahi sasa nafasi ni chache

Jumatatu, 2 Februari 2015

TICO KUANDAA TUZO ZA FILAMU


Mwigizaji na mtayarishaji filamu Timothy Conrad a.k.a TICO, ameweka wazi juu ya ujio wa tamasha kubwa la Filamu litakalosimama kwa jina Timamu African Film Festival.TICO amesema kuwa lengo la tamasha hili ni kuzileta pamoja kazi za filamu za Afrika na pia kutoa tuzo kwa kazi ambazo zitakuwa zimefanya vizuri.
Tayari tamasha hili limekwishaanzishwa na kusajiliwa nchini Marekani, na taratibu zake za usajili zinakamilika pia hapa nchini ambapo kuanzia mwezi wa pili wasanii hapa nyumbani wataweza kuwasilisha kazi zao za filamu, matarajio yakiwa ni kufanya tamasha hili ifikapo mwezi wa 9 mwaka huu.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni