![](https://scontent-mxp.xx.fbcdn.net/hphotos-xap1/v/t1.0-9/11088402_1179901088690974_4092864241526932459_n.jpg?oh=27a2611a025013d4b353cfd651fa30d8&oe=5579DF7D)
Hali ya mtoto Jacqueline Lepenza aliyenusurika katika ajali mbaya ya Basi la Majinja kugongana na Lori na kudondokewa na kontena inaendelea vizuri na hapa yupo katika picha na baba yake. Unaambiwa mtoto huyo alikuwa anatokea Njombe kwao na mama yake alipokuwa ameenda kwaajili ya kufanyiwa ubatizo wake. Mama yake alifariki siku hiyo katika ajali hiyo iliyoua watu zaidi ya 50.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni