Kenya Airways
AirwaysShirika
la ndege la Kenya, Kenya Airways leo limeanza rasmi kupunguza safiri
zake katika uwanja wa ndege wa Dar es Salaam kufuatia agizo la mamlaka
ya anga ya Tanzania kuamuru shirika hilo kupunguza safari zake kutoka 42
kwa wiki hadi 14.
Tayari baadhi ya wasafiri wanaotumia ndege za shirika hilo wameanza kuathirika kufuatia shirika hilo kufuta baadhi ya safari kutoka Dar es Salaam
CHANZO BBC.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni