Shule

Shule
Shule ya secondary Lilasia yenye usajili no. 3878 inatoa nafasi za kujiunga na kidato cha 1 mwaka 2015 shule ni ya kutwa na bweni. ofa! lipia kwa awamu nne. mawasiliano:- 0754 504 132/ 0756 240 471/ 0754 985 772 Wahi sasa nafasi ni chache

Alhamisi, 19 Machi 2015

USALAMA; JAPAN NA CHINA KUKUTANA.

  Rais wa China Xi Jinping akimsalimia waziri mkuu wa Japan Shinzo Abe.Jap[an na China zinatarajiwa kukutana hivi karibu kwa mkutano wa usalama
China na Japan wanafanya mkutano wa kwanza wa kiwango cha juu wa usalama katika muda wa miaka minne.
Mkutano huo unaofanyika Tokyo unajumuisha maafisa kutoka wizara za mambo ya nje na ulinzi.
Mazungumzo hayo yalisitishwa mnamo mwaka 2011 kutokana na hofu kuhusu visiwa vinavyozozaniwa mashariki mwa bahari ya China.
China inasema Japan imeshindwa kuomba msamaha kwa uchokozi wake wakati wa vita vya dunia vya pili.
Pande zote zimesisistiza umuhimu wa mazungumzo ya kweli kudumisha amani.
CHANZO BBC.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni