Shule

Shule
Shule ya secondary Lilasia yenye usajili no. 3878 inatoa nafasi za kujiunga na kidato cha 1 mwaka 2015 shule ni ya kutwa na bweni. ofa! lipia kwa awamu nne. mawasiliano:- 0754 504 132/ 0756 240 471/ 0754 985 772 Wahi sasa nafasi ni chache

Alhamisi, 12 Machi 2015

SAA ZA KISASA ZA KAMPUNI YA PPLE ZAJA

Ziko njiani zaja mwezi ujao tu 
Kampuni ya Apple imezindua saa ya kisasa ambayo inauwezo wa kupiga simu,kupokea barua pepe,kucheza muziki na kufuatilia masuala ya afya na mazoezi.
Kampuni ya Apple Inc itaanza kuuza saa zake mpya mnamo mwezi April 24 mwaka huu, na bei ya kuanzia sokoni itakuwa dola 10,000 ama paundi 6,611 na bidhaa yake ya kwanza ghali ilitolewa miaka mitano iliyopita katika malengo ya kuongeza wigo wa bidhaa zake hasa vifaa vya simu za mkononi.
Sasa hiyo kutoka kampuni ya Apple ya kimichezo kwa zile ndogo zina milimita thelathini na nane itauzwa kwa dola 349 na saa kubwa itauzwa kwa dola 549 na bidhaa ya mwisho itauzwa kwa dola elfu kumi ,hii ni kwa muujibu wa Afisa mtendaji wa kampuni hiyo , Tim Cook said mapema wiki hii.
CHANZO BBC.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni