Shule

Shule
Shule ya secondary Lilasia yenye usajili no. 3878 inatoa nafasi za kujiunga na kidato cha 1 mwaka 2015 shule ni ya kutwa na bweni. ofa! lipia kwa awamu nne. mawasiliano:- 0754 504 132/ 0756 240 471/ 0754 985 772 Wahi sasa nafasi ni chache

Jumanne, 17 Machi 2015

USIENDESHE GARI UKIWA UMELEWA.

 
Ulevi sio mzuri kwa madereva wa namna yoyote awapo kwenye chombo cha moto, je mnaona kilichompata dereva huyu maeneo ya rangi tatu karibu na stend ya mabasi ya kwenda mjini?
Unawashauri nini madereva?

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni