Shule

Shule
Shule ya secondary Lilasia yenye usajili no. 3878 inatoa nafasi za kujiunga na kidato cha 1 mwaka 2015 shule ni ya kutwa na bweni. ofa! lipia kwa awamu nne. mawasiliano:- 0754 504 132/ 0756 240 471/ 0754 985 772 Wahi sasa nafasi ni chache

Jumatano, 25 Machi 2015

RAIA WA SINGAPORE WAMUAGA LEE KUAN YEW.

Jeneza la aliyekuwa waziri mkuu wa kwanza nchini Singapore Lee Kuan Yew 
Maelfu ya watu wamepiga foleni nje ya majengo ya bunge nchini Singapore, ili kutoa heshima zao za mwisho kwa aliyekuwa waziri mkuu wa kwanza wa nchi hiyo Lee Kuan Yew.
Marehemu Lee Kuan Yew aliyefariki siku ya jumatatu akiwa na umri wa miaka 91 atazikwa siku ya jumapili.
Mashirika na kampuni nyingi ya kibiashara zimewapa wafanyikazi wao ruhusa ya kwenda kumuaga marehemu Lee kwa heshima na taadhima.
CHANZO BBC.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni