Shule ya secondary Lilasia yenye usajili no. 3878 inatoa nafasi za kujiunga na kidato cha 1 mwaka 2015 shule ni ya kutwa na bweni. ofa! lipia kwa awamu nne. mawasiliano:- 0754 504 132/ 0756 240 471/ 0754 985 772 Wahi sasa nafasi ni chache
Alhamisi, 12 Machi 2015
TAKWIMU ZA WAATHIRIKA WA FIO TANZANIA
Wastani wa watu 480,000 sawa na 1% ya watanzania wote wameathirika na
ugonjwa wa figo ambao kati ya hao, robo tatu hufariki dunia kila mwaka kutokana na ugonjwa huo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni