Shule

Shule
Shule ya secondary Lilasia yenye usajili no. 3878 inatoa nafasi za kujiunga na kidato cha 1 mwaka 2015 shule ni ya kutwa na bweni. ofa! lipia kwa awamu nne. mawasiliano:- 0754 504 132/ 0756 240 471/ 0754 985 772 Wahi sasa nafasi ni chache

Jumanne, 17 Machi 2015

HELIKOPTA YA UN YAANGUKA MALI.

 
Helikopita ya umoja wa mataifa imeanguka Kaskazini mwa Mali na kuua watu wawili raia ambao ni wafanyakazi wa ndege hiyo.
Ndege hiyo ni mali ya vikosi vya walinda amani nchini Mali MINUSMA.Hata hivyo inadaiwa kuwa UN ina askari wapatao 11,000 kutoka mataifa mbalimbali.
Hata hivyo kwa mjibu wa shirka hilo la umoja wa mataifa UN,hatua hiyo dhidi ya wapiganaji hao nchini Mali.Awali mwezi huu roketi za vikosi vya umona wa mataifa.
CHANZO BBC.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni