Shule

Shule
Shule ya secondary Lilasia yenye usajili no. 3878 inatoa nafasi za kujiunga na kidato cha 1 mwaka 2015 shule ni ya kutwa na bweni. ofa! lipia kwa awamu nne. mawasiliano:- 0754 504 132/ 0756 240 471/ 0754 985 772 Wahi sasa nafasi ni chache

Jumamosi, 21 Machi 2015

WALIODANGANYA MTIHANI WAFUKUZWA INDIA.

Watu wanaparamia jumba la mitihani Bihar, India
Wakuu wa jimbo la Bihar, India, wamewakamata mamia ya watu na wamewafukuza wanafunzi zaidi ya 750 baada ya video kutanda mtandaoni, zinazoonesha wanafunzi wakidanganya wazi kwenye mtihani wa kumaliza shule.
Baadhi ya wazee na askari polisi wamekamatwa, na mitihani ijayo katika vituo vine imeahirishwa.
Picha hizo zinaonesha wanaume wakiparamia kuta za vituo vya mitihani na kuwakabidhi wanafunzi majibu, na wanafunzi wengine wakikopi kutoka maelezo hayo.
chanzo bbc.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni