Shirikisho la kanda kanda nchini
England FA sasa linakusudia kuandaa sheria itakayo kupunguza idadi ya
wachezaji kutoka nje ya nchi za Umoja wa Ulaya watakaosajiliwa katika
ligi za nchi hiyo.
Mwenyekiti wa shirikisho hilo Greg Dyke asema
kwamba ligi kuu ya England ipo kwenye hatari ya kutowasaidia wachezaji
raia wa Uingereza kama hatua hazitachukuliwa.Katika mpango pia itaweka sheria ngumu kwa wachazaji wenye vipaji waliokulia nchini humo.
Mikakati hiyo yote ni ya kuimarisha timu ya taifa ya England ambayo imekuwa haifanyi vizuri kwenye mechi za kimataifa.
CHANZO BBC.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni