Shule

Shule
Shule ya secondary Lilasia yenye usajili no. 3878 inatoa nafasi za kujiunga na kidato cha 1 mwaka 2015 shule ni ya kutwa na bweni. ofa! lipia kwa awamu nne. mawasiliano:- 0754 504 132/ 0756 240 471/ 0754 985 772 Wahi sasa nafasi ni chache

Alhamisi, 12 Machi 2015

SECONDARY YA IDODI YAFUNGWA KUPISHA UCHUNGUZI

 
Shule ya sekondari idodi iliyopo tarafa ya idodi wilaya ya Iringa vijijini imelazimika kufungwa kwa wiki mbili kufuatia kutokea kwa ajali ya moto kwenye bweni la wasichana ili kupisha uchunguzi wa chanzo cha moto huo pamoja na ukarabati wa majengo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni