![](https://scontent-mxp.xx.fbcdn.net/hphotos-xpf1/v/t1.0-9/11015130_1179882642026152_7131826140997435396_n.jpg?oh=af74e043390d21147b24e2658b9e728f&oe=557E9EAD)
Polisi jijini Mwanza wanatumia mabomu ya machozi kuwatawanya waombolezaji waliojikusanya mjini misungwi kupinga kitendo cha Polisi kumpiga kijana Magata Salum aliyekufa leo.
Wananchi hao wamejikusanya kupinga mwili wa kijana huyo Magata Salum kupelekwa kituo cha polisi wala kushughulikiwa na polisi kwa madai kuwa amekufa kwa kupigwa na polisi.
CHANZO EA TV
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni