David Cameron
Waziri mkuu wa Uingereza, hataendelea tena na wadhfa wake huo, iwapo atarudi madarakani katika uchaguzi mkuu wa mwezi Mei.
David
Cameron, ameiambia BBC kuwa, anadhani awamu ya tatu inaweza kuwa ni
kipindi kirefu kwake kukaa madarakani na kiongozi mpya ni vizuri
kuchaguliwa.Chama kikuu cha upinzani cha Leba kimemshutumu Bwana Cameron kwa kuonyesha uzembe na kushinikiza muhula wa tatu, kwa chama chake cha Conservative, hata kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu ujao.
CHANZO BBC.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni