
Mwili wa aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi na Mkurugenzi wa kundi la uhamasishaji chama cha CCM LA Tanzania One Theatre (TOT), Kapteni Mstaafu John Komba unatarajiwa kuagwa leo katika viwanja vya Karimjee. Mwili huo utaagwa kuanzia saa nne asubuhi kabla ya kusafirishwa kwenda Mbinga kwa maziko siku ya Jumanne.
R.I.P Komba
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni