Msanii wa Hip hop Geez Mabovu amefariki dunia usiku wa saa mbili ya leo baada ya kusumbuliwa na maradhi kwa miezi kadhaa
Wiki kadhaa zilizopita Geez Mabovu alielekea kwao Iringa kwa matibabu
zaidi na ndipo hali yake ilibadilika na kuwa mbaya hadi umauti
ulipomkuta hii Leo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni