Shule

Shule
Shule ya secondary Lilasia yenye usajili no. 3878 inatoa nafasi za kujiunga na kidato cha 1 mwaka 2015 shule ni ya kutwa na bweni. ofa! lipia kwa awamu nne. mawasiliano:- 0754 504 132/ 0756 240 471/ 0754 985 772 Wahi sasa nafasi ni chache

Jumamosi, 8 Novemba 2014

SITTI MTEMVU AJIVUA TAJI LA MISS TANZANIA 2014 MSHINDI WA PILI AMRITHI.


sitti
Tangu Sitti Mtemvu atangazwe mshindi pale Mlimani City kumekua na malalamiko kutoka kwa baadhi ya Watanzania yalifuatia kutokana na umri wake,pamoja na taarifa nyingine ambazo yeye alizikanusha na kusema ni uzushi ikiwemo ya kuwa na mtoto.
Baada ya haya yote Novemba 8, 2014 Kamati ya Miss Tanzania imekutana na waandishi wa habari Dar es salaam na kutangaza kwamba Sitti Mtemvu ameandika barua kwa hiari yake yeye mwenyewe, kwamba amelivua taji hilo , hivyo kamati hiyo ikamtangaza ambaye atashikilia taji hilo kwamba ni mshindi namba mbili wa Miss Tanzania 2014 Lilian Kamazim

Attached Thumbnails
Click image for larger version. 

Name: sitti.png 
Views: 0 
Size: 523.6 KB 
ID: 200206

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni