Wanasanyansi wa safari za anga za
mbali wamejawa na shauku ya kutaka thibitisho kwamba Chombo
kilichopelekwa na kutua kwenye kimondo au nyota mkia yaani Comet iliyo
umbali wa zaidi ya kilometa nusu bilioni kutoka duniani.
Hapo jana
Chombo hicho kiliwezesha kuwekwa kwa historia ya kuwa kifaa cha kwanza
kuwahi kutengenezwa na binadamu kutua kwenye kimondo, kazi iliyochukua
zaidi ya miaka 10.Hata hivyo huenda bado kifaa hicho hakijajibanza kwenye kimondo hicho chenye upana wa kilometa mbili , kama ilivyotarajiwa-Data mpya na hasa picha zinasubiriwa kwa hamu kubwa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni