
Msanii wa kizazi kipya Rashidi Mkwiro.aka 'Chidi Benz'
Kesi ya msanii wa muziki wa kizazi kipya, Rashid Makwiro aka 'Chid Benz' ya kukamatwa na dawa za kulevya imetajwa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu Jijini Dar es Salaam na kuhairishwa tena hadi Desemba mosi, mwaka huu.
Hii imekuja baada ya upande wa Jamhuri kuomba kesi hiyo ipelekwe mbele ili kukamilisha upelelezi
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni