Shule

Shule
Shule ya secondary Lilasia yenye usajili no. 3878 inatoa nafasi za kujiunga na kidato cha 1 mwaka 2015 shule ni ya kutwa na bweni. ofa! lipia kwa awamu nne. mawasiliano:- 0754 504 132/ 0756 240 471/ 0754 985 772 Wahi sasa nafasi ni chache

Ijumaa, 7 Novemba 2014

JE, WAJUA KUNA WAOMBOLEZAJI WA KULIPWA ?



Kila Alhamisi na Ijumaa, shughuli katika mji wa Kisumu, magharibi mwa Kenya, huvurugika kwa sababu mamia ya waendesha pikipiki huzuia barabara kutokana na kukodiwa kuomboleza msiba kwa malipo.
Kelele za sauti zao, ukubwa wa misafara ya pikipiki vinatumiwa kama kigezo cha umaarufu na heshima kwa marehemu.
Lakini sasa haya yote huenda yakawa mambo ya kale, baada ya serikali ya kaunti ya Kisumu kuharamisha mtindo huu wa uombolezaji.


 Kwanini? Wamelipwa kuomboleza.
Kadri msafara ulivyo mrefu, na kelele za waombolezaji kuzidi, ndivyo marehemu hufahamika kuwa ni maarufu.





Hakuna maoni:

Chapisha Maoni