Shule

Shule
Shule ya secondary Lilasia yenye usajili no. 3878 inatoa nafasi za kujiunga na kidato cha 1 mwaka 2015 shule ni ya kutwa na bweni. ofa! lipia kwa awamu nne. mawasiliano:- 0754 504 132/ 0756 240 471/ 0754 985 772 Wahi sasa nafasi ni chache

Ijumaa, 7 Novemba 2014

VIJANA KUATHIRIKA NA SARATANI YA UTUMBO




Saratani ya utumbo miongoni mwa watu walio na umri chini ya mika 34 inatarijiwa kuongezeka maradufu miaka kumi na tano ijayo.
Watafiti wamesema kuwa takwimu hiyo inaibua hisia kuhusu kupambana na mojawapo ya saratani hatari duniani.
Kuongezeka kwa ugonjwa huo miongoni mwa vijana kunasababishwa na chaguo lao la kimaisha kinyume na kupungua kwa visa vya ugonjwa huo miongoni mwa watu wenye umri zaidi ya 50.
Upungufu huo umesababishwa na kuzingatia uchunguzi kwa kina.
Ongezeko la ugonjwa huo katika vijana unalinganishwa na kula vyakula visivyokuwa na madini ya kufaidi mwili na pia mienendo potofu ya kimaisha.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni