Shule

Shule
Shule ya secondary Lilasia yenye usajili no. 3878 inatoa nafasi za kujiunga na kidato cha 1 mwaka 2015 shule ni ya kutwa na bweni. ofa! lipia kwa awamu nne. mawasiliano:- 0754 504 132/ 0756 240 471/ 0754 985 772 Wahi sasa nafasi ni chache

Ijumaa, 7 Novemba 2014

WHATSAPP YAWAKABA KOO "WAONGO"



 Kuanzia leo longo longo ya kwamba sikuupata ujumbe wako wa WhatsApp itakuwa historia, au kudai  kuwa ujumbe haujafika utakuwa unaongopa mchana kweupe
  • Kuanzia leo longo longo ya kwamba sikuupata ujumbe wako wa WhatsApp itakuwa      historia, au kudai kuwa ujumbe haujafika utakuwa unaongopa mchana kweupe 
  •  Tick ya kijivu ina maana kuwa ujumbe umetumwa, tick mbili za kijivu zina maana ujumbe umemfikia mlengwa, na tick mbili za blue zina maana kuwa mlengwa ameusoma ujumbe uliotumwa
  •  Ukibonyeza na kushikilia ujumbe uliotuma inatokea Pressing and holding an individual message shows the Message Info option
  •  Ukibofya utaona muda kamili ambao ujumbe huo ulisomwa  
  • Maoni kuhusu mabadiliko hayo yamepokelewa tofauti katika mitandao ya kijamii, wapo ambao hawajafurahishwa
http://taarifa.co.tz/wp-content/uploads/2014/11/whatsapp.jpg

Whatsapp haijatoa sababu za kufanya mabadiliko hayo ambayo yamewakera baadhi ya watumiaji.
Kuanzia jana huduma hiyo inayomilikiwa na Facebook- itakuwa ikionyesha tick mbili za rangi ya blue upande wa chini kulia katika kila ujumbe unaotuma kubainisha kuwa umesomwa.
Na ukibofya ujumbe wenyewe utaona muda kamili ambao mlengwa alifungua na kuusoma ujumbe husika

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni